Ratiba ya Vipindi

Panga wakati wako na vipindi vyetu vya kila siku. Tunafanya kazi 24/7!

Jumatatu - Ijumaa

01:00 - 02:30

Sauti ya Asubuhi

Habari za magazeti, wageni waalikwa na uchambuzi wa masuala ya asubuhi. Hosts: Nalinga, Diego, Cisco, Vuma, Dr. Bravo

03:00 - 05:00

Sport Vibes

Matokeo ya michezo, magazeti ya michezo, uchambuzi wa kitaifa na kimataifa. Hosts: Diego, Cisco | Producer: Nalinga

07:00 - 07:30

Shikilia Dera

Umbea wa jamii, burudani, mipasho, mapishi, simulizi za filamu na taarifa za habari. Hosts: Tunu, Vuma, Diego, Mathias

07:30 - 10:00

Fresh Kitaa

Muziki, interviews, trends, headlines na maisha ya mastaa wa muziki. Hosts: Mapunda, Tunu, Mathias

10:00 - 13:00

Kipindi cha Mwendokasi

Interviews, habari mpya, michezo, uchumi na uchunguzi. Hosts: Cisco, Diego, Mapunda, Nalinga

13:00 - 15:00

Sports Level

Uchambuzi wa kina wa michezo ya kitaifa na kimataifa. Hosts: Cisco, Diego, Mapunda, Nalinga

15:00 - 16:30

Vipindi vya Interactions

Ushirikishwaji wa wasikilizaji, maoni, simu na mitandao ya kijamii

16:30 - 18:00

Kipindi cha Mahusiano

Mahusiano, ndoa, mapenzi na ushauri wa kijamii

Jumamosi

03:00 - 05:00

Mtoto Forum

Kipindi maalum cha watoto

07:00 - 10:00

YaliyoniTokea

Simulizi na hadithi za maisha halisi

10:00 - 18:00

Sauti ya Jamii

Hekima za wahenga na maadili ya jamii

Jumapili

01:00 - 04:00

Dini ya Kikristo

Mafundisho na mahubiri ya Kikristo

Ijumaa

17:00 - 19:00

Dini ya Kiislamu

Mafundisho ya dini ya Kiislamu

Kumbuka!

Ratiba hii inaweza kubadilika kulingana na matukio maalum au vipindi vya dharura. Tunawahakikishia huduma bora ya redio 24 saa kila siku, 7 siku kwa wiki.