Karibu Salamba Radio
Sikiliza muziki, michezo, na burudani moja kwa moja. Redio yako ya mtandaoni 24/7.
Inachezwa Sasa
Kipindi
Live Streaming
Furahia muziki, michezo, na burudani kutoka Salamba Radio. Tunakupatia maudhui bora kila siku!
Kwa Nini Salamba Radio?
Redio ya kisasa inayokupa uzoefu bora wa kusikiliza
Streaming Moja kwa Moja
Sikiliza redio yetu moja kwa moja bila kukwama. Ubora wa juu wa sauti kila wakati.
Maudhui Bora
Muziki, michezo, uchambuzi wa soka, na burudani kutoka kwa wataalamu.
Fikia Popote
Sikiliza kutoka popote ulipo duniani. Inahitajika tu mtandao wa intaneti.
24/7 Moja kwa Moja
Redio yetu inafanya kazi saa 24 kila siku. Hakuna mapumziko!
Ratiba ya Vipindi
Panga wakati wako na vipindi vyetu vya kila siku
Asubuhi na Salamba
Anza siku yako na muziki mzuri na habari za asubuhi
Mchana Mzima
Burudani ya mchana na muziki wa kila aina
Jioni ya Michezo
Uchambuzi wa michezo, maokoto, na tips za kubashiri
Usiku wa Muziki
Muziki wa usiku na burudani hadi usiku wa manane